BOFYA HAPO CHINI KUJIUNGA NA GRP LETU LA WAHSTAP
1.uwe na namba ya shule unayohitaji matokeo mfano s4213 kwa marian boys
(waweza ipata kwa kuangalia google andika jina la shule likifuatiwa na CSEE)
2.fungua browser yako
3.andika adress hii 41.188.155.122/CSEE2013/s4213.htm
4.ikiwa s4213 ni namba ya shule husika
5.bofya ENTER
6.kupata matokeo ya shule nyingine badilisha tu sehemu hii hapo chini inaonyeshwa na andika namba ya shule uitakayo majibu
7.kwa shule nyingine badilisha namba ya shule tu na kubofya ENTER.
mfano
41.188.155.122/CSEE2013/s0189.htm,
41.188.155.122/CSEE2013/s0140.htm,
41.188.155.122/CSEE2013/s0239.htm
by Sharpbrains. Always one step ahead!!
ILI UWEZE KUANGALIA VIDEO YAKE GUSA HAPA CHINIII
1 comments:
Imekaa sawa hii...
ReplyPost a Comment